Pangea - Copenhagen International LGBT Network

[Swahili]
 
Karibu PANGEA

PANGEA ni mtandao wa wanaume wanaopenda wanaume, wanawake wanaopenda wanawake, Watu wanaopenda wanaume na wanawake, na watu wanaova kinyume na jinsia yao wanaoishi Copenhagen.

video

Wengi wetu ni watu waliohama nchi zetu za kuzaliwa na twakupa nafasi kukutana na watu kulingana na matakwa na maslahi yako, watu wenye sifa zilizo sambamba na zako

Kupitia mtandao wa internet waweza kututafuta iliuwe na fununu juu yetu, lakini bado twakarbisha maswali kupitia barua pepe kwa anwani yetu : pangea(at)lgbt.dk

PANGEA - Copenhagen International LGBT Network